Ufafanuzi wa thamani katika Kiswahili

thamani

nominoPlural thamani

  • 1

    gharama au ubora wa kitu kutokana na hali na kuhitajika kwake na jamii.

    bei

Asili

Kar

Matamshi

thamani

/θamani/