Ufafanuzi wa thamini katika Kiswahili

thamini

kitenzi elekezi

  • 1

    tia kitu gharama au bei.

  • 2

    tia maanani.

    heshimu

Asili

Kar

Matamshi

thamini

/θamini/