Ufafanuzi wa thamra katika Kiswahili

thamra

nominoPlural thamra

  • 1

    karafuu changa kabla ya kukauka.

Asili

Kar

Matamshi

thamra

/θamra/