Ufafanuzi wa themanini katika Kiswahili

themanini

nominoPlural themanini

  • 1

    makumi manane.

  • 2

    ‘80’.

Asili

Kar

Matamshi

themanini

/θɛmanini/