Ufafanuzi wa thibitika katika Kiswahili

thibitika

kitenzi sielekezi

  • 1

    onekana wazi kwa ushahidi kuwa madai fulani ni sahihi.

Asili

Kar

Matamshi

thibitika

/θibitika/