Ufafanuzi wa thibitisha katika Kiswahili

thibitisha

kitenzi elekezi

  • 1

    hakikisha kwa maelezo, vitendo au vielelezo kuwa jambo fulani ni sahihi.

  • 2

    yakini

Asili

Kar

Matamshi

thibitisha

/θibiti∫a/