Ufafanuzi wa tia nanga katika Kiswahili

tia nanga

msemo

  • 1

    fika mwisho wa safari.

Ufafanuzi wa Tia nanga katika Kiswahili

Tia nanga

msemo

  • 1

    simama.