Ufafanuzi msingi wa tibu katika Kiswahili

: tibu1tibu2

tibu1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa

  • 1

    -pa dawa au fanyia matibabu ili kuponya maradhi.

    ganga

Asili

Kar

Matamshi

tibu

/tibu/

Ufafanuzi msingi wa tibu katika Kiswahili

: tibu1tibu2

tibu2

nominoPlural tibu

  • 1

    unga unaopatikana kwa kusaga pakanga, sandali, karafuu na maua ya maulidi na kutiwa marashi ili kuufanya kama ujiuji mzito unaotumiwa kujisingia.

Asili

Kar

Matamshi

tibu

/tibu/