Ufafanuzi wa tiga katika Kiswahili

tiga

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    ponda kitu k.v. udongo, kwa kutumia mikono au miguu.

Matamshi

tiga

/tiga/