Ufafanuzi wa tii katika Kiswahili

tii

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya ilivyoamriwa; fuata amri.

    nyenyekea, fuata, sikia, inama

Matamshi

tii

/ti:/