Ufafanuzi wa tikisa katika Kiswahili

tikisa, tingisha

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    sukuma kitu huku na huku ili kukifanya kilichomo kichanganyike vizuri.

    ‘Kabla hujainywa hiyo dawa, kwanza tikisa chupa’
    tukuta, susa

Matamshi

tikisa

/tikisa/