Ufafanuzi wa timazi katika Kiswahili

timazi

nomino

  • 1

    kipande cha risasi au kitu chochote kizito kinachofungwa kamba ili kupimia usawa wa ukuta unaojengwa.

    chubwi

Asili

Kar

Matamshi

timazi

/timazi/