Ufafanuzi msingi wa timba katika Kiswahili

: timba1timba2timba3

timba1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  kanyaga kitu k.v. tope au mavi.

 • 2

  tumia kitu ovyo.

  ‘Timba mali’

Matamshi

timba

/timba/

Ufafanuzi msingi wa timba katika Kiswahili

: timba1timba2timba3

timba2

nominoPlural timba

 • 1

  mtungo wa kitu k.v. shanga au simbi.

Matamshi

timba

/timba/

Ufafanuzi msingi wa timba katika Kiswahili

: timba1timba2timba3

timba3

nominoPlural timba

 • 1

  kimea cha kutengenezea pombe.

Matamshi

timba

/timba/