Ufafanuzi wa timia katika Kiswahili

timia

kitenzi elekezi

  • 1

    kuwa katika hali ya kukamilika.

    fika

  • 2

    fikia idadi inayotakiwa.

Matamshi

timia

/timija/