Ufafanuzi wa timiza katika Kiswahili

timiza

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    pata idadi inayotakiwa.

    kamilisha

Asili

Kar

Matamshi

timiza

/timiza/