Ufafanuzi wa timua katika Kiswahili

timua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~lisha

  • 1

    fanya kitu k.v. mtu au mnyama kiondoke kwa haraka.

    kurupusha

  • 2

    pangua kitu kilichowekwa au kupangwa vizuri kiwe ovyoovyo.

    ‘Timua nywele’

Matamshi

timua

/timuwa/