Ufafanuzi wa tinda katika Kiswahili

tinda

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    kata kitu k.v. nguzo, ubao, gogo, n.k. kwa ajili ya kusawazisha.

Matamshi

tinda

/tinda/