Ufafanuzi wa tindia katika Kiswahili

tindia

kitenzi elekezi

  • 1

    pata maumivu kutokana na kuanguka na kukita chini sehemu ya mwili k.v. mguu au mkono.

Matamshi

tindia

/tindija/