Ufafanuzi wa tindiga katika Kiswahili

tindiga

nomino

  • 1

    nyasi zenye mizizi mirefu zinazomea sehemu yenye matope mengi.

Matamshi

tindiga

/tindiga/