Ufafanuzi wa tindikali katika Kiswahili

tindikali

nominoPlural tindikali

  • 1

    dawa inayotumika kuyeyushia risasi ya kulehemia.

    asidi

Asili

Kar

Matamshi

tindikali

/tindikali/