Ufafanuzi msingi wa tinga katika Kiswahili

: tinga1tinga2tinga3

tinga1

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda huku na huku, agh. bila ya kugusa chini.

Matamshi

tinga

/tinga/

Ufafanuzi msingi wa tinga katika Kiswahili

: tinga1tinga2tinga3

tinga2

kitenzi sielekezi

Matamshi

tinga

/tinga/

Ufafanuzi msingi wa tinga katika Kiswahili

: tinga1tinga2tinga3

tinga3

kitenzi sielekezi

  • 1

    ingia mpira golini.

    ‘Mpira umetinga mara moja kwa adhabu’

Matamshi

tinga

/tinga/