Ufafanuzi wa tiririka katika Kiswahili

tiririka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    enda kwa mfululizo k.v. maji katika mfereji au mto.

Matamshi

tiririka

/tiririka/