Ufafanuzi wa tisha katika Kiswahili

tisha

kitenzi elekezi

  • 1

    tia hofu.

    ogofya, ogopesha, gutua, shtua, dabu

Matamshi

tisha

/ti∫a/