Ufafanuzi wa tishali katika Kiswahili

tishali

nominoPlural matishali

  • 1

    chombo kinachotumiwa kuchukulia mizigo kutoka kwenye bandari au meli.

Asili

Kar

Matamshi

tishali

/ti∫ali/