Ufafanuzi wa tishia katika Kiswahili

tishia

kitenzi elekezi

  • 1

    ahidi kufanya uovu fulani kama masharti fulani hayatatimizwa.

Matamshi

tishia

/tiāˆ«ija/