Ufafanuzi wa tishu katika Kiswahili

tishu

nominoPlural tishu

  • 1

    muunganiko wa seli mbalimbali za aina moja zenye kazi maalumu mwilini.

Asili

Kng

Matamshi

tishu

/ti∫u/