Ufafanuzi wa tisti katika Kiswahili

tisti

kielezi

  • 1

    bila ya kuyumba wala kutikisika.

    ‘Simama tisti’
    imara

Asili

Kar

Matamshi

tisti

/tisti/