Ufafanuzi wa tita katika Kiswahili

tita

kitenzi elekezi

  • 1

    funga pamoja kitu k.v kuni au nyasi.

Matamshi

tita

/tita/