Ufafanuzi wa titi katika Kiswahili

titi

nominoPlural matiti

  • 1

    kiungo cha mwili wa binadamu kilichoko kifuani na ambacho kwa mwanamke aliyekwisha baleghe hukua na kuweza kunyonyesha anapozaa.

    ziwa, tombo

  • 2

    sehemu iliyoko katika upande wa chini wa mnyama na ambayo ina chuchu, anapozaa hutoa maziwa kwa ajili ya kuwanyonyeshea watoto wake.

Matamshi

titi

/titi/