Ufafanuzi wa titia katika Kiswahili

titia

kitenzi sielekezi

  • 1

    bonyea kwa ardhi kwa sababu ya uwazi ndani.

    titima

Matamshi

titia

/titija/