Ufafanuzi wa titimua katika Kiswahili

titimua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liwa, ~sha

  • 1

    ng’oa k.v. mti na mizizi yake.

Matamshi

titimua

/titimuwa/