Ufafanuzi wa toasi katika Kiswahili

toasi

nomino

  • 1

    chombo cha madini chenye umbo kama bakuli kinachotumiwa kunawishia mtu.

    tasa

Matamshi

toasi

/tɔwasi/