Ufafanuzi wa toboka katika Kiswahili

toboka

kitenzi sielekezi

  • 1

    pata tundu la kuweza kupitisha vitu vigumu au vya majimaji au hewa.

Matamshi

toboka

/tɔbɔka/