Ufafanuzi wa tobosha katika Kiswahili

tobosha

nominoPlural matobosha

  • 1

    andazi linalopikwa kwa kutumia unga, asali au sukari, tembo tamu na tui la nazi.

Matamshi

tobosha

/tɔbɔ∫a/