Ufafanuzi wa tofi katika Kiswahili

tofi

nomino

  • 1

    peremende ngumu au ya mraba inayokuwa laini inaposondwa au kutafunwa, iliyotengenezwa kwa kuchemshwa sukari, siagi na viungo vingine k.v. chokoleti.

Asili

Kng

Matamshi

tofi

/tɔfi/