Ufafanuzi wa togwa katika Kiswahili

togwa

nominoPlural togwa

  • 1

    kinywaji kisicholevya kinachotengenezwa kwa kimea, unga wa mtama au ulezi na sukari.

Matamshi

togwa

/tɔgwa/