Ufafanuzi wa toharika katika Kiswahili

toharika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    takasika na najisi.

Asili

Kar

Matamshi

toharika

/tɔharika/