Ufafanuzi msingi wa toka katika Kiswahili

: toka1toka2

toka1

kielezi

 • 1

  neno linaloonyesha kianzio cha jambo au mahali.

  ‘Sijamwona toka jana’
  tangu

Ufafanuzi msingi wa toka katika Kiswahili

: toka1toka2

toka2

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

 • 1

  ondoka mahali na enda kwingine.

  methali ‘Kitokacho matumboni ki uchungu’

Matamshi

toka

/tɔka/