Ufafanuzi wa tokea katika Kiswahili

tokea

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya kuonekana.

    ‘Tulipofika kituoni naye akatokea’
    tukia, jiri, wa