Ufafanuzi wa tokosa katika Kiswahili

tokosa

kitenzi elekezi

  • 1

    pika chakula k.v. mihogo au viazi kwa kuchemsha.

Matamshi

tokosa

/tɔkɔsa/