Ufafanuzi wa tokota katika Kiswahili

tokota

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    chemka kwa maji yaliyochanganywa na vitu vingine k.v. mahindi, maharage au unga.

Matamshi

tokota

/tɔkɔta/