Ufafanuzi wa toma katika Kiswahili

toma

kitenzi sielekezi

  • 1

    ingia ghafla au kwa nguvu.

Matamshi

toma

/tɔma/