Ufafanuzi wa tomasa katika Kiswahili

tomasa

kitenzi elekezi

  • 1

    gusa kitu kwa kubonyeza kidogo.

    tofya

Matamshi

tomasa

/tɔmasa/