Ufafanuzi wa tomea katika Kiswahili

tomea

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~sha, ~wa

 • 1

  tupia kokoto, mawe au udongo katika ukuta mbichi ili kuufanya imara.

  aka

 • 2

  andika fasili ya kidahizo cha kamusi pamoja na taarifa nyingine muhimu.

 • 3

  shindilia nafaka ndani ya gunia ili lijae hadi pomoni.

Matamshi

tomea

/tɔmɛja/