Ufafanuzi wa tomo katika Kiswahili

tomo

nomino

  • 1

    jiwe linalotumiwa kulainishia vyombo vya mfinyanzi.

    komango, kurugo

Matamshi

tomo

/tɔmɔ/