Ufafanuzi wa tomondo katika Kiswahili

tomondo

nomino

  • 1

    tunda linalofanana na tonga.

Matamshi

tomondo

/tɔmɔndɔ/