Ufafanuzi wa tona katika Kiswahili

tona

kitenzi sielekezi

  • 1

    vuja au dondoka kwa kitu cha majimaji, tone baada ya tone.

    dondoka, doda

  • 2

    tia alama ya vitone katika mwili au kitu.

Matamshi

tona

/tɔna/