Ufafanuzi msingi wa tone katika Kiswahili

: tone1tone2

tone1

nominoPlural matone, Plural tone

 • 1

  sehemu ndogo ya kitu kiowevu kinachodondoka.

  ‘Tone la maji’

Matamshi

tone

/tɔnɛ/

Ufafanuzi msingi wa tone katika Kiswahili

: tone1tone2

tone2

nominoPlural matone, Plural tone

 • 1

  athari mbaya k.v. ya ugonjwa au maumivu anayoipata mtu kutokana na tendo la mtu mwingine.

  ‘Amempiga mwenzake mpaka amemtia tone’
  ‘Ingiwa na tone’

Matamshi

tone

/tɔnɛ/