Ufafanuzi wa tonesha katika Kiswahili

tonesha

kitenzi elekezi

  • 1

    gusa mahali penye kidonda na kuleta maumivu.

    chonyota

Matamshi

tonesha

/tɔnɛ∫a/