Main definitions of tongo in Swahili

: tongo1tongo2tongo3

tongo1 , tongotongo

noun

 • 1

  chembe za taka za machoni, agh. huwa rangi nyeupe au manjano hafifu.

  utongo

Pronunciation

tongo

/tɔngɔ/

Main definitions of tongo in Swahili

: tongo1tongo2tongo3

tongo2

noun

 • 1

  jina la jumla kwa ndege wadogo wanaokwenda kwa makundimakundi k.v. visigi au vichozi.

Pronunciation

tongo

/tɔngɔ/

Main definitions of tongo in Swahili

: tongo1tongo2tongo3

tongo3

noun

 • 1

  sehemu ambayo watu waliishi zamani na kuhama.

  mahame, ganjo

Pronunciation

tongo

/tɔngɔ/